🌊 GAMORA ONLINE â€ĸ Kariakoo, Dar es Salaam
GAMORAONLINE

Uwasilishaji Rahisi na Salama

Uwasilishaji Rahisi na Salama

Tunakuletea bidhaa zako kutoka Kariakoo, Dar es Salaam hadi ulipo.

Kituo cha Uwasilishaji

Uwasilishaji wa GAMORA ONLINE unaanzia Kariakoo, Dar es Salaam.

📏

Uwasilishaji kwa Umbali

Gharama ya delivery inaweza kuhesabiwa kulingana na umbali kutoka Kariakoo hadi eneo lako.

đŸ›°ī¸

Tumia Eneo Lako

Wakati wa kukamilisha oda utaweza kuruhusu tovuti kutumia eneo lako ili kusaidia kukadiria umbali wa uwasilishaji.

GAMORA ONLINE

Jinsi Uwasilishaji Unavyofanya Kazi

1

Chagua bidhaa

Ongeza bidhaa unazotaka kwenye Kikapu.

2

Weka taarifa zako

Jaza jina, simu na address/eneo lako.

3

Pima distance

Mfumo utatumia eneo lako kusaidia kuhesabu distance kutoka Kariakoo.

4

Thibitisha Oda

Kagua bidhaa, delivery fee na jumla kabla ya kuthibitisha oda.

â„šī¸

Muhimu

Gharama ya uwasilishaji itaonyeshwa kabla ya order kukamilishwa. Gharama inaweza kutofautiana kulingana na umbali na eneo la delivery.

đŸ’Ŧ

Unahitaji msaada?

Wasiliana nasi WhatsApp